MBUNGE MATHAYO ATOA EKARI 204 KWA WANANCHI KWAAJILI YA MAKAZI NA KILIMO
NA Shomari Binda-Butiama
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ametoa ekari 204 kwaajili ya makazi na kilimo.
Ekari hizo amezitoa kwa wananchi wa Kitongoji...
MUWASA KUITUMIA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KURUDISHA MAJI KWA WALIOSITISHIWA BILA FAINI
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) inaitumia wiki ya Huduma kwa wateja kurudisha huduma ya maji kwa waliositishiwa...
RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSANI ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI INDIA
Na Magrethy Katengu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kufanya ziara ya Kitaifa ncgi India Octoba 8hadi 11 Mwaka...
NYERERE DAY TWENDE MATEMBEZI KAZIMZUMBWI
Na Magrethy Katengu
Ikiwa imesalia siku kadhaa kufanyika siku maalumu ya kumbukidhi ya kifo cha aliyekuwa Raiis wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu...
TIGO WAWAFIKIA WATEJA NA WATOA HUDUMA WAKE , WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2023
Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja , Leo Oktoba 4, 2023 viongozi wa Kampuni ya TIGO akiwemo...