Mwanafunzi anayedaiwa kumkata panga mwalimu afikishwa Mahakamani
Alex Lameck (18), Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Tamabu na Mkazi wa Mission wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya...
WAZIRI SLAA ATOA SIKU SABA UTATUZI WA KERO ZA URASMISHAJI WA ARDHI.
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaa amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo pamoja na Watendaji wake kushughukia...
TIGO WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2023 MKOANI IRINGA
Na Mwandishi Wetu.
Mtandao namba moja kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali nchini Tigo , umezindua wiki ya Huduma kwa wateja Mkoani Iringa ikiwa na...
DIWANI GOLDEN AWAHUSIA WAHITIMU MOREMBE SEKONDARI KUJIEPUSHA NA USHOGA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Na Shomari Binda-Musoma
WANAFUNZI wahitimu wa kidato cha 4 wa shule ya sekondari Morembe wametakiwa kutojihusisha na vitendo vya ushoga na ndoa za jinsia moja.
Kauli...
UVCCM WAKABIDHI VIFAA VYA KUSAFISHIA DAMPO LA RWAMISHENYE WATOA NENO KWA MANISPAA YA BUKOBA.
Na Theophilida Felician Kagera.
Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba Mkoni Kagera kwa pamoja wameungana na kujitolea...