WAZIRI UMMY: NDANI YA MIEZI SITA HOSPITALI ZOTE ZA HALMASHAURI ZIWE ZINAPIMA UGONJWA WA...
Na. WAF - Dar es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwapima ugonjwa wa Sikoseli watoto wote wanaozaliwa...
ATCL KUPOKEA NDEGE MPYA KESHO
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake...
TARURA YAJINYAKULIA POINTI 3 TOKA RAS KILIMANJARO
Timu ya mpira wa miguu ya TARURA imejinyakulia pointi 3 dhidi ya timu ya RAS Kilimanjaro wakati wa mchezo wa makundi katika mashindano ya...
MABINGWA 50 MTOKO WA KIBINGWA KUSHUHUDIA DERBY YA KARIAKOO KI VIP
KAMPENI kubwa ya Mtoko wa Kibingwa yazinduliwa rasmi mabingwa 50 kushuhudia derby ya kariakoo katika Jukwaa la VIP A Novemba 05, 2033 Kwa Mkapa.
Akizungumza...
VIONGOZI WA DINI WAHAMASISHENI VIJANA KUFANYA KAZI KWA WELEDI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini...