TARURA YAENDELEZA UBABE KWA KUIPIGA ARDHI 1-0
Timu ya Mpira wa miguu ya TARURA yaendeleza ubabe kwa siku tatu mfululizo ambapo Leo imefanikiwa kuipiga Ardhi goli 1-0 kwenye mashindano ya SHIMIWI.
Katika...
MBUNGE BULAYA AJIVUNIA MASHINDANO YA BULAYA CUP KUTOA WACHEZAJI WENGI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa viti maalum Ester Bulaya amesema anayo furaha na kujivunia mashindano ya Bulaya Cup kutoa wachezaji wengi tangu yalipoanzishwa.
Kauli hiyo aeitoa...
Shule ya Mumtaaz yasifiwa Kwa Taaluma bora
Shule ya Mumtaaz iliyopo jijini Mwanza Kata Buhongwa imesifika Kutokana na Taaluma mzuri ambayo imekuwa ikitolewa Shuleni hapo, hayo yamebainishwa na Mwalimu Mkuu wa...
SERIKALI KUFUNGUA SHAMBA LA MIWA, MUHUKURU
NA MWANDISHI WETU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali kupitia...