TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD YAWAFIKIA WANANCHI KAGERA UCHUNGUZI WA SARATANI
Na Theophilida Felician Kagera.
Taasisi ya Saratani Ocean Raod ipo Mkoani Kagera kuanzia leo Tarahe 31 Oktoba mpaka Tarehe 2 mwaka huu wa 2023 ikiendelea...
TMA YATAHADHARISHA MVUA KUBWA MIKOA YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM NA VISIWA VYA...
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua...
UTAFITI WA VIASHIRIA VYA VVU NA UKIMWI WAKAMILIKA HUKU UKIWA NA MATOKEO CHANYA.
NA MWANDISHI WETU- DODOMA
Imeelezwa kuwa Tanzania imepata Matokeo chanya katika Mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI na kwamba idadi ya maambukizi mapya inaendelea kupungua...
MBUNGE MATHAYO AOMBA FEDHA UBORESHAJI KITUO CHA AFYA BWERI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ameiomba serikali fedha kwaajili ya uboreshaji wa kituo cha afya Bweri.
Maombi hayo ameyaelekeza kwenye...
CPC WAWEZESHA VIJANA 50 KUTAPATA MAFUNZO SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE KIBAHA PWANI
Na Scolastica Msewa, Kibaha.CHAMA Cha Kikomunisti cha nchini China CPC kimetoa ufadhili wa mafunzo mafupi ya siku kumi kwa wanachama 50 wa Chama Cha...
KINANA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA ZELOTHE
30 Oktoba, 2023 Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Ndugu Abdulrahaman Kinana amewaongoza Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali pamoja na maelfu...
BALOZI NJALIKAI AKUTANA NA BALOZI WA KWANZA WA ALGERIA NCHINI TANZANIA
Balozi wa Tanzania Nchini Algeria Iman Njalikai leo Oktoba 30, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Balozi Noureddine DJoudi, Rais wa Taasisi ya...
SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WACHIMBAJI WADOGO KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA KATIKA UCHENJUAJI MADINI – WAZIRI...
Kuachana na Matumizi ya Zebaki
Mwaka 2020 Tanzania iliuridhia Mkataba wa MINAMATA
Kuwawezesha kuchenjua kupitia CIP
Na.Samwel Mtuwa - Chunya.
Mwaka 2030 ndio mwisho wa matumizi ya kemikali...
MBUNGE ANNE KILANGO. MICHEZO INASAIDIA KUWAJENGEA VIJANA MAHUSIANO MAZURI.
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mbunge wa Same jimbo la Mashariki Mhe. Anne Kilango amesema Michezo inasaidia kuwajengea vijana mahusiano mazuri katika nyanja mbalimbali ikiwemo za...
VIJANA 3095 WAMEHITIMU MAFUNZO KATIKA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI (JWTZ) RTS KIHANGAIKO MSATA...
Na Scolastica Msewa, Msata.
Vijana 3095 waliohitimu mafunzo katika shule ya awali ya kijeshi ya Kihangaiko Msata Mkoani Pwani na kuwa Askari wapya wa jeshi...