RASMI VIJANA KUPATIWA FURSA SEKTA YA MADINI
Waziri Mavunde Aainisha Programu ya MBT
Itashirikisha vijana kwa asilimia 100
Asilimia 70 ya fedha za migodi ni manunuzi
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanisha Programu ya...
GST YAENDELEA NA TAFITI ZA MADINI MUHIMU NA MKAKATI
Dkt. Massawe ametoa wito kwa wadau kuitumia GST katika Tafiti za Madini
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kufanya utafiti wa...
WANANCHI KISIWA CHA RUKUBA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUANZA KUPOKEA VIFAA TIBA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa kisiwa cha Rukuba kilichopo jimbo la Musoma vijijini wameishukuru serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kutoa vifaa tiba...
MAVUNDE APONGEZA UWEKEZAJI MAABARA YA MSA GEITA
Inapima Sampuli za Madini kwa Mionzi (PhotoAssay)
Inatoa majibu ndani ya masaa mawili
Asilimia 99.8 ya Wafanyakazi ni Watanzania
Zaidi ya Shilingi Bilioni 5 zimewekezwa katika kampuni...
KAMPUNI YA TUNZAA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA
Na Magrethy Katengu
Kampuni ya Kitanzania ijulikanayo kama Tunzaa Digitali Holdings Limited imesema itahakikisha inaendelea na ubunifu wa kujikita kutatua changamoto.za tabia za kifedha kwa...