JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LATOA UJUMBE KUZUIA UHALIFU MASHINDANO YA MATHAYO CUP...
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara limewataka vijana kuitumia michezo kuinua vipaji vyao na kutojiingiza kwenye vitendo vya uhalifu.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu...
Aweso: Jamii ishirikishwe katika masuala ya maji
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Bodi za Mamlaka za Maji Nchini na kuwataka viongozi wa Sekta ya Maji kuhakikisha wanashirikiana na...
DHAHABU YA GGR YAIFUNGUA TANZANIA KIMATAIFA USAFISHAJI MADINI
GGR kuleta mabadiliko katika uongezaji thamani madini
Geita
Imeelezwa kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka...
SERIKALI YAPANGA KUNUNUA MITAMBO 15 YA UCHORONGAJI MIAMBA
•.Oktoba 2023 mitambo mitano itatolewa mkoani Dodoma
Sekta inachangia 56 % ya fedha za kigeni
Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji...
MTEMVU AKABIDHI HELMETS NA REFLECTOR KWA BODABODA KIJITONYAMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Comred Abbas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na mshikamano miongoni mwa wanaCCM...