RC MTANDA APONGEZA USHINDI WA BIASHARA UNITED LIGI YA CHAMPION SHIP
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mohamed Mtanda amepongeza ushindi wa timu ya Biashara United wa mabao 2-0 dhidi ya Copco ya...
JUDITH KAPINGA: MIRADI YA NISHATI KUMULIKWA
Na Dorina Makaya & Issa Sabuni
Naibu Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema, Miradi yote ya Nishati kuanzia sasa itasimamiwa kwa jicho la ukaribu...
WAKALA WA VIPIMO WMA NA JESHI LA ZIMAMOTO MKOA WA PWANI WATOA ELIMU KWA...
Jeshi la zimamoto mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na Wakala wa Vipimo WMA wametoa elimu ya kujilinda moto na jinsi ya kuhakiki ujazo wa...
NYAKATO FC MAKOKO KUUMANA KESHO JUMATATU KUTAFUTA MSHINDI WA 3 MATHAYO CUP
Na Shomari Binda-Musoma
MCHEZO wa kutafuta mshindi wa 3 wa mashindano ya Mathayo Cup utafanyika kesho saa 10 jioni kwenye uwanja wa Mara sekondari.
Timu za...
RASILIMALI ZAIDI ZINAHITAJIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA
Na WAF, Newyork USA
Ili tuweze kuutokomeza ugonjwa wa malaria, tunahitaji rasilimali zaidi na uwajibikaji wenye kuleta matokeo chanya kwenye mapambano dhidi ya malaria.
Kauli hiyo...
MAJALIWA AHIMIZA UFUGAJI NA UVUVI WENYE TIJA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2024 ametembelea Soko la Kimataifa la mazao ya Uvuvi la Katembe-Magarini lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Muleba,...
WAZIRI MKUU AKAGUA VETA NDOLAGE, AHIMIZA UJENZI WA MABWENI KAMACHUMU
*Aonya wanaume wanaowakatisha masomo wanafunzi wa kike
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Ndolage na kuhimiza kiwe kimekamilika ifikapo Novemba...