GST YABAINISHA UWEPO WA MGODI WA URANI UTACHOCHEA UTALII WA MADINI NAMTUMBO
GST yashiriki Kongamano la Wadau kuhusu Fursa za Uwekezaji Namtumbo
Wilaya ya Namtumbo imetajwa kuwa na fursa kubwa ya uwepo wa Utalii wa Madini baada...
WAKAZI 5 MSOMERA KIZIMBANI KWA WIZI WA MIFUGO
Na Boniface Gideon, TANGA
JESHÄ° La Polisi Mkoa wa limewafikisha Mahakamani watu 5 wakazi wa eneo maalumu la kuwahamishia wafugaji Jamii ya Wamasai kutoka ngorongoro...
ENG. MATAVILA: MRADI WA BONDE LA MTO MSIMBAZI KUPENDEZESHA JIJI LA DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Eng. Rogatus H. Matavila amesema Mradi wa Bonde la Mto...
MIL 700 ZA RAIS SAMIA ZAMALIZA UJENZI WA DARAJA KOROFI LA KISERU WILAYANI KITETO-MBUNGE...
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara
Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na...
TARURA YAENDELEA KUIFUNGUA KILOSA KIUCHUMI
-Ujenzi wa madaraja kwenyemito kuwaepushia vifo wananchi
Kilosa
Imeelezwa kwamba ndani ya kipindi kifupi kumekuwa na maendeleo katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi katika maeneo ya...
RC MTANDA AMPONGEA MBUNGE AGNESS MARWA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE MARA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amepongeza jitihada za mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Agness Marwa kuwawezesha wanawake kiuchumi.
Kauli...
KUWEPO kwa Mazingira Mazuri ya Kufundishia huwezesha Shule kufanya Vizuri
KUWEPO kwa mazingira mazuri ya kufundishia katika shule zetu huwezesha wanafunzi kufanya vizuri katika mitihani yao mbalimbali.
Hayo yamebainishwa kwenye mahafali ya 15 kwa darasa...
MAAFISA WA BRELA WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
Maafisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kutoka Kurugenzi ya Kampuni na Majina ya Biashara na Kurugenzi ya Miliki Ubunifu wametakiwa...
MASHINDANO YA INSTAQUEEN KUFANYIKA DESEMBA 5, 2023; MABINTI CHANGAMKENI
Na Magrethy Katengu
Fursa zaibuka kwa mabinti kupitia mtandao wa Instagram katika mashindano InstaQeen ya kutuma video na picha zao vigezo na Masharti kuzingatiwa Zawadi...
Kamanda Mutafungwa akemea vitendo vya wananchi kujichukulia sheria mkononi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbroad Mutafungwa ametoa elimu ya namna ya kuzuia uhalifu na kuacha kujichukulia...