KANAL THOMAS ATOA WITO KWA GST KUSOGEZA HUDUMA ZA MAABARA RUVUMA
Amepokea Vitabu vya Madini yapatikanayo Tanzania kwa shangwe
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas ametoa wito kwa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa...
NAIMA MINGA ACHAGULIWA TENA KUWA NAIBU MEYA MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma wamemchagua diwani wa viti maalumu Naima Minga kuwa Naibu Meya manispaa ya Musoma.
Naima...
DADA WA KAZI AUNGUZWA KWA CHAI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE KWA TUHUMA ZA...
DADA wa kazi za ndani Filomena Erick (17) amejeruhiwa na mwajiri wake Janeth Dominick (26) kwa kumwagia chai ya moto kwa tuhuma za kuiba...
DRC KONGO KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI TANZANIA
Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi...
WIZARA YA MALIASILI YAENDELEA KUKAKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Wizara ya Maliasili na Utalii imeshiriki kwenye kikao cha kuandaa machapisho yatakayotumika kutoa elimu kwa umma kuhusu namna ya kujikinga na...
TBS ELIMU KWA UMMA YAZIFIKIA WILAYA ZA MKOA WA TABORA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaendelea na Kampeni yake Ya kutoa Elimu Kwa Umma katika Ngazi za Wilaya ambapo hadi sasa Shirika hilo limetoa...
MKOA WA NJOMBE UNAONGOZA KWA IDADI KUBWA YA MADINI MKAKATI NCHINI
Mtaka apokea Kitabu cha madini yapatikanayo Tanzania
Utafiti wa awali uliofanywa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ulibaini kuwa Mkoa wa...
TAASISI YA MWALIMU NYERERE YAWAKUMBUSHA VIJANA KILIMO CHA MANUFAA
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere imewakumbusha vijana kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo ili kuweza kupata manufaa.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu...