Monday, December 23, 2024
Home 2023 September 18

Daily Archives: September 18, 2023

RAIS SAMIA ARUDISHA MATUMAINI MBARALI

0
Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...

MAADILI MEMA MUHIMU KUFUNDISHWA KWA WATOTO

0
Na Neema Kandoro Mwanza MAADILI mema kwa wanafunzi yanapaswa kujengwa katika ngazi ya familia na shuleni ili tuwe na taifa lenye kuheshimu misingi ya utamaduni...

MKUU WA MKOA IRINGA AFURAHIA KITABU CHA MADINI YAPATIKANAYO TANZANIA

0
Dendego atoa wito kwa GST Kushiriki Kongamano la Utalii wa Madini Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amesema mfumo unaotumiwa na Taasisi ya Jiolojia...

WALIMU 5 WASHIKILIWA NA POLISI MKOANI MARA KWA KUGHUSHI NYARAKA ILI KUJIPATIA FEDHA

0
Na Shomari Binda-Musoma JESHI la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 10 wakiwemo walimu 5 kwa kufanya udanganyifu ili wajipatie fedha isivyo halali. Watu hao walifanya udanganyifu...

WASHIRIKI 24 WATINGA KAMBI YA BINGWA KIBABE

0
VIJANA 24 wanatarajiwa kunufaika na onesho maalum la bingwa kwa kupewa mitaji kwa ajili ya kufanya shughuli zao za kimaendeleo na kutimiza ndoto zao. Akizungumza...

EWURA YAFUNGIA VITUO 3 VYA MAFUTA KWA MIEZI 6 KWA KUFICHA MAFUTA

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji EWURA imevifungia Vituo 3 vya uuzaji mafuta kwa muda wa miezi 6 Camel Oil- Gairo...

SERIKALI KUTUMIA MIEZI 18 KUMALIZA ADHA YA UMEME MASASI

0
Na Mwandishi wetu Serikali imeendelea na jitihada zake za kutatua adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika Mkoa wa Mtwara ili kuongeza ushiriki...

DIWANI GUNDA AKABIDHI KILO 800 ZA UNGA AKIZINDUA KAMPENI YA NISHIBISHE KWA WANAFUNZI SHULE...

0
Diwani wa viti maalum Halmashauri ya Kibaha vijijini Mheshimiwa Josephine Gunda amekabidhi kilo 800 za unga kwa Wanafunzi wa Shule za msingi na sekondari...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma September 18, 2023,
Karibu Tukuhudumie..