DKT. BITEKO AFANYA ZIARA JNHPP AAHIDI CHANGAMOTO YA UKOSEFU UMEME ITATATULIWA
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaeleza watanzania kuwa changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya...
Mahafali ya 15 Messa yang’ara
KUWEPO kwa madarasa ya kulea watoto umri wa kuanzia mwaka na nusu ni njia ya kufanya wazazi wajishughulishe na shughuli za maendeleo bila kuathiriwa.
Hayo...
BASHE AMSIMIKA NYIHITA KUWA MLEZI TAASISI YA VIJANA YA KILIMO KWANZA MKOA WA MARA
Na Shomari Binda-Musoma
WAZIRI wa Kilimo, Hussen Bashe amemsikika Nyihita Willfred Nyihita kuwa mlezi wa taasisi ya Tanzania Youth Agro Irrigation Development Netwerk Programme kwa...
WAZIRI MKUU AIPONGEZA TARURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWE KWENYE UJENZI WA MADARAJA NA...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia teknolojia ya...
Taasisi za Udhibiti zaelekezwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara nchini
Taasisi za Udhibiti zimeelekezwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara nchini ikiwa ni jukumu kuu na la msingi ili kutatua kero za wafanyabiashara na...
TANZANIA YAUNGA MKONO AJENDA YA AUB 2063
Na Dorina Makaya -Wizara ya Nishati.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono Ajenda ya Maendeleo...
DIT WATII WITO WA SERIKALI, WAZINDUA DAWATI LA KIJINSIA KUUKABILI UKATILI
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imezindua Dawati la Jinsia kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili na kushughulikia matukio yote yanayoripotiwa na...
TBS WATOA WITO KWA WAHANDISI KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UANDAAJI VIWANGO
Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) limeshiriki katika maonesho ya 20 ya Wahandisi Jijini Dar es salaam, katika maonesho haya Shirika limepata nafasi ya...