Wakulima ongezeni uzalishaji wa mazao ya mbegu za mafuta ya kula
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ametoa wito kwa Watanzania kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbegu za mafuta ya kula hususan...
BALOZI WA MAREKANI APONGEZA UTEUZI WA DKT DOTO BITEKO
Dkt. Biteko aahidi ushirikiano na Mashirika ya Kimataifa Sekta ya Nishati.
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko amekutana...
MBUNGE MUHONGO KUONGOZA HARAMBEE UJENZI SEKONDARI 2 JIMBONI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Profesa Sospeter Muhongo,anatarajiwa kuongoza harambee ya ujenzi sekonari jimboni humo.
Harambee ya kwanza itakayoongozwa na mbunge huyo itafanyika...
SIMBACHAWENE ATOA MAAGIZO TASAF
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameagiza kusitishwa kwa fedha zinazotolewa...
BRELA yakutana na Taasisi za Udhibiti kuboresha mazingira ufanyaji biashara nchini
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inakutana na Taasisi za Udhibiti ili kujadili mikakati ya pamoja ya namna ya kutatua mikinzano inayojitokeza...
NDC YATILIANA SAINI YA MIKATABA YA UCHIMBAJIA MAKAA YA MAWE NA MAKAMPUNI MATANO YA...
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo NDC limetiliana saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya mawe katika mradi wa Mchuchuma...
UN WOMEN yahamasisha Wanawake Pwani kugombea nafasi za uongozi katika chaguzi
UN WOMEN yahamasisha Wanawake wa Wilaya tatu za mkoa wa Pwani kushiriki uchaguzi iliwapate uongozi kwaajili ya chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji...