GEKUL AWATAKA MAHAKAMA KUSHIRIKIANA NA UTU KWANZA KUWAPA MSAADA YA KISHERIA WAFUNGWA NA...
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameagiza Mahakama na jeshi la Polisi kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana na shirika lisilo la...
THAILAND YAFUNGUA MILANGO WATANZANIA KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI
Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa Miaka 50 Yaonesha Nia Kuwekeza Nchini
Mbibo Aielezea kuwa ni Safari Yenye Manufaa Makubwa kwa Tanzania
TIC Wakaribishwa Kuanzisha Tawi Kuchochea...
ROBO FAINALI YA KWANZA MATHAYO CUP KUPIGWA KESHO, KITAJI FC DHIDI YA NYAKATO FC
Na Shomari Binda-Musoma
MASHINDANO ya Mathayo Cup yaliyondaliwa na mbunge wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo,yamefika hatua ya robo fainali.
Bingwa wa mashindano haya ataondoka...
Kiwanda kikubwa Cha Sela tapu kuzinduliwa Mwanza
Wawekezaji mkoani mwanza wameiomba serikali kuondoa vikwanzo ambavyo vinapelekea kuathiri maendeleo ya uwekezaji mdogo mdogo hapa nchi lengo likiwa ni KUKUZA viwanda vinavyochipuka na...
SHEREMBI AAHIDI KUENDELEZA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU, AFYA UKEREWE
Atoa Siku 24 kukamilisha Mradi wa Shule Mpya kwa fedha za SEQUIP Kata ya Namilembe
Akizungumza na mafundi na vibarua (wakazi) wa eneo la mradi...
MBUNGE MATHAYO ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA TIMU YA KATA YA RWAMLIMI KUFUATIA KIFO...
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mchezaji Angelo Malima.
Mchezaji huyo alikuwa akiichezea timu...
ROTARY YAMWAGA TENA MADAWATI SHULE ZA MSINGI DAR ES SALAAM
KLABU ya Rotary ya Dar es Salaam imekabidhi madawati 100 kwa shule ya msingi Mtakuja manispaa ya Kinondoni na kufikisha idadi ya madawati takriban...