MBAGALA YAZIZIMA TIGO WAKITOA MILIONI 5 KWA MSHINDI WA CHA WOTE
Na Mwandishi Wetu.
Bi Halima Rajabu Seleman Mfanya biashara ndogondogo mkazi wa Kilungule - Mbagala Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni...
TENGENEZENI MIFUMO YA KUGUNDUA RISITI FEKI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wataalamu wa mifumo na TEHAMA, wabuni programu tumizi ya kuweza kutambua risiti halali na zisizo halali ili kujihakikishia kuwa...
MAJALIWA AIPONGEZA TAIFA STARS
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) kwa kufuzu kuingia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika...
CP Dkt. Mussa aagwa Rasmi baada ya kumaliza Utumishi wake Jeshini
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam
Jeshi la Polisi Nchini limemuaga rasmi aliyekuwa kamishna wa Kamisheni ya ushirikishwaji Jamii ambae kwa...
MBENG’O ZIMEFUNGUKA YABADILISHA MAISHA YA MUUGUZI DODOMA
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri nchini Betika yakabidhi rasmi zawadi ya Mshindi wa droo ya promosheni ya "Mbeng'o zitafunguka" kwa Mshindi wa Daladala Anselm...
TAASISI YA MWALIMU NYERERE KUFUNGUA KLABU ZA MWL. NYERERE MASHULENI
Na Shomari Binda-Musoma
KUELEKEA maadhimisho ya miaka 23 ya Mwalimu Nyerere, taasisi ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere Mkoa wa Mara imekusudia kufungua klabu za Mwalimu...
BAADHI YA BODABODA MJINI MUSOMA WATOA TAMKO LA KUTOSUSIA KUNUNUA MAFUTA
Baadhi ya viongozi wa Bodaboda Musoma mjini wamesema hawajawahi kutoa tamko la kususia kununua mafuta ktk kituo cha The White Co (LTD) kama ilivyotangazwa...
WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA KITUO KIKUU CHA TAIFA GAS
WAANDISHI wa habari wa Mkoa wa Pwani wamefanya ziara ya kutembelea kituo kikuu cha kupokelea uingizaji wa gasi ya kampuni ya Taifa Gas nchini...
NAIBU KATIBU MKUU MADINI AFANYA MAHOJIANO NA JARIDA MAARUFU LA THE NEW JEWELLER
Na Mwandishi wetu
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo Septemba 7, 2023 alifanya Mahojiano na Mwakilishi Maalum wa Jarida la The New Jeweller,...