RAIS DKT. MWINYI: SERIKALI KUTEKELEZA MIPANGO YA KUWASAIDIA VIJANA NA WANAWAKE KWA KILIMO...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Tanzania pamoja na washirika wa maendeleo kwa pamoja...
HATUA YA MAKUNDI MATHAYO CUP 2023 KUHITIMISHWA KESHO UWANJA WA MUSOMA TECH
Na Shomari Binda- Musoma
HATUA ya makundi ya mashindano ya Mathayo Cup 2023 itafikia tamati kesho kwenye uwanja wa shule ya sekondari ya Ufundi Musoma.
Michezo...
CRDB BENKI YAAHIDI KUENDELEZA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU UKEREWE
#Yaipongeza Wilaya kwa usimamizi mzuri wa fedha za miradi ya Elimu.
#Kukabidhi Meza 50 na Viti 50 Chief Lukumbuzya.
Kaimu Meneja CRDB Benki Kanda ya Ziwa...
MADINI YA VITO YA SPINEL YA MAHENGE YAWA LULU THAILAND
Bei yake kwa sasa yatajwa ni mara 10 zaidi ya Tanzanite
Na Wizara ya Madini - Bangkok
Imeelezwa kuwa Madini ya Vito aina ya Spinel yanayochimbwa...
WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA NAIBU WAZIRI MKUU
*Amtaka ashughulikie changamoto ya upatikanaji wa mafuta nchini
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko aendelee kushughulikia...
MADAKTARI BINGWA TOKA BUGANDO WAENDELEA KUTOA HUDUMA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MADAKTARI bingwa kutoka hospital ya kanda Bugando wameendelea kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Matibabu yanayotolewa...