WATANZANIA TAMBUENI KILIMO SIYO SIASA MSIPOTOSHWE
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imewaonya Viongozi kutambua kuwa kilimo siyo siasa ni maisha ya watu na watu walio wengi wamejikwamua kiuchumi kupitia sekta...
VIWANGO BONANZA 2023 YAFANA, WAFANYAKAZI TBS WASHIRIKI KWA KISHINDO
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limefanya Bonanza la Michezo kwa wafanyakazi wa shirika hilo lengo likiwa ni kuwakutanisha pamoja katika michezo ili...
TANZANIA, KOREA KUSINI KUUNGANISHA NGUVU SEKTA YA MADINI
#Waziri Mavunde awakaribisha kuwekeza Sekta ya Madini
#Balozi Mavura- Ushirikiano kati Tanzania, Korea ya Kusini unaendelea kuimarika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wawekezaji katika Sekta ya...
LUTUMO AMEWATAKA ASKARI POLISI KUWA NA UTII
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina Msaidizi wa Polisi Pius Lutumo, amewataka Askari Polisi kufanya kazi kwa mujibu wa viapo vyao.
Ameyasema hayo...
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUACHA KUINGIZA BIDHAA ZISIZOKIDHI VIWANGO
Shirika la viwango Tanzania(TBS)limewataka wafanyabiashara nchini kujiepusha na uzalishaji,uingizaji pamoja na usambazaji wa bidhaa zisizo na ubora ili kuepusha Tanzania kuwa dampo la bidhaa...
OMTO VICOBA DAY 2023 YAJA NA MIRADI KABAMBE
Rais wa Vicoba Endelevu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya YEMCO Vicoba, Mohamed Basanga akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization...
RAIS SAMIA AZINDUA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA MKOANI ARUSHA
Viongozi mbalimbali wakipiga makofi kufurahia uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika lililozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...