MFANYABIASHARA RAMA MSOMI AAMUA KUWEKEZA ZAIDI TANZANIA
Na Shomari Binda-Musoma
MFANYABIASHARA mtanzania mwenye makazi nchini Kenya, Ramadhan Msomi ameamua kuwekeza zaidi hapa nchini baada ya serikali kupunguza vikwazo vya uwekezaji.
Uwekezaji alioamua kuwekeza...
PROF. KITILA MKUMBO AWAUNGA MKONO WANANCHI MAVURUNZA UJENZI WA BARABARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ameunga mkono juhudi za Wananchi wa Shina namba 7 mtaa wa Mavurunza...
WAZIRI MKUU AMKARIBISHA DKT. BITEKO OFISINI
*Ampongeza kwa kuaminiwa na Mheshimiwa Rais, amuahidi ushirikiano
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Septemba 2, 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi...
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAENDELEA KUPEWA MAFUNZO NA JESHI LA POLISI
Wakazi wa jiji la Mwanza wameendelea kuvutiwa na elimu inayotolewa na Jeshi la Polisi katika maonesho ya kibiashara ya Afrika Mashariki (EAC) yanayofanyika katika...
SAMSON RYOBA AWAAHIDI USHIRIKIANO MADIWANI HALMASHAURI YA SERENGETI
Na Shomari Binda-Serengeti
MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Serengeti, Samson Ryoba, ameahidi ushirikiano kwa madiwani ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Kauli hiyo ameitoa baada ya kuchaguliwa kwa...
WAKUU WA MIKOA WANOLEWA KUTUMIA MATOKEO YA SENSA KATIKA. UTEKELAZAJI WA MAJUKUMU YAO
Na Magrethy Katengu
Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa wametakiwa kutumia matokeo ya sensa kwa wananchi ya mwaka 2022 ili iwasaidie katika kupanga...
KITAJI YA KWANZA KUTINGA 8 BORA IRINGO IKIAGA MASHINDANO YA MATHAYO CUP
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Kitaji fc imekuwa ya kwanza kutinga hatua ya 8 bora ya mashindano ya Mathayo Cup huku Iringo fc ikitupwa nje...
WATANZANIA CHANGAMKIENI FURSA ZA. MKUTANO WA AGRF
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewashauri wakazi wa Dar es Salaam kuchangamkia fursa zitakazotokana na mkutano wa Jukwaa...