WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AMPA RUNGU RC PWANI KUNYANG’ANYA VISIWA NA VIWANJA VILIVYOMILIKIWA NA...
Na Scolastica Msewa, MafiaWaziri Mkuu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa amempa rungu Mkuu wa mkoa wa Pwani Mheshimiwa Abubakari Kunenge kunyang'anya Visiwa na viwanja uwekezaji wa...
CCM MKOA WA MARA YASEMA HAITAKUWA KIKWAZO KWA MBUNGE MATHAYO KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE
Na Shomari Binda-Musoma
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitakuwa kikwazo kwa mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo kutekeleza majukumu yake ikiwemo utekelezaji wa...
DIT WATANGAZA UDAHILI KATIKA SHAHADA YA KWANZA YA UHANDISI WA VIFAA TIBA ( BACHELOR...
Na Mwandishi Wetu
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET ) limetoa Ithibati kwa Taasisi ya Teknolojia Dar...
WADAU WATAKIWA KUGEUKIA MADINI MKAKATI
# Kwasasa sekta inahamia katika Madini Mkakati
#Tafiti zinaonesha uwepo wa Madini Mkakati kwa wingi
Wadau wa sekta ya Madini nchini watakiwa kugeukia fursa zilizopo katika...
MUHONGO AONGOZA HARAMBEE YA MAFANIKIO UJENZI WA SEKONDARI KISIWA CHA RUKUBA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameongoza harambee ya mafanikio ya ujenzi wa shule ya sekondari kisiwa cha Rukuba.
Mafanikio...
MWANDISHI MATHIAS CANAL ACHANGIA MIL 4 SHULE YA MSINGI KIOMBOI BOMANI WILAYANI IRAMBA
Na Mwandishi Wetu, Iramba-Singida
Mwandishi wa Habari Ndg Mathias Canal amechangia madawati 30 yenye thamani ya shilingi 2,100,000, na Vitakasa mikono 20 vyenye thamani ya...
BILIONI 5.7 KUUNGANISHA KIJIJI CHA KAPETA NA LANDANI KWA LAMI
Ileje, Songwe
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwira–Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5...
BILIONI 5.7 KUUNGANISHA KIJIJI CHA KAPETA NA LANDANI KWA LAMI
Ileje, Songwe
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwira–Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5...
SERIKALI YAPOKEA CHANGAMOTO ZA WACHIMBAJI WANAWAKE
Kuandaa Mkakati wa Uwezeshaji Wanawake
Kupewa leseni za maeneo yenye taarifa za Utafiti
Serikali kupitia Wizara ya Madini na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wanawake...
MAFIA NDIO KITIVO CHA MAZALIA YA SAMAKI DUNIANI
Mkuu wa kitengo Cha kilimo biashara wa Bank ya NMB makao makuu Nsolo Mlozi amesema Bank ya NMB imefanya mabadiliko makubwa kwa kuanza kutoa...